Jukwaa Huru: Graduation Showcase
- mudaafricadance
- Jul 19
- 1 min read
Join us on Saturday 19 July as our talented 2025 graduates take the stage to showcase their final exam performances – a celebration of three years of dedication, sweat and artistry.
The evening will close with a group piece ‘Golden Chair’, choreographed by the incredible Msamiru Kaabuka 🔥🪑
🗓️ Date: Saturday 19 July
📍 Venue: MUDA Kona, Dar es Salaam
⏰ Time: 7.30PM
🎟️ Entry: Free
Come support the next generation of East African dance artists as they take the stage and step into their professional journeys! 🌍✨

Tarehe 19 Julai, MUDA Africa inakualika kushuhudia wanafunzi wetu wanaomaliza wakionesha maonesho ya mitihani yao, baada ya miaka mitatu ya mafunzo na kazi ngumu 💪🏾💃🏾
Usiku utahitimishwa na onesho la pamoja la ‘Golden Chair’ lililoandaliwa na Msamiru Kaabuka – kazi ya kisasa yenye nguvu na ujumbe 💥🪑
🗓️ Tarehe: Juma mosi, 19 Julai
📍 Mahali: MUDA Kona, Dar es Salaam
⏰ Muda: Saa 1.30 jioni
🎟️ Kiingilio: Bure
Karibu uone kizazi kipya cha wasanii wa dansi Afrika Mashariki kikianza safari yao ya kisanii! 🌟




Comments