top of page


Thu, 10 Sept
|Muda Kona
MOLIERE MARA MBILI
Kicheksho kuhusu si chochote ambacho kumbe ni chochote.
Time & Location
10 Sept 2026, 19:30 – 22:00 EAT
Muda Kona, 52 Silvesta St, Dar es Salaam, Tanzania
About the event
Molière akiwa mswahili, matokeo yake ni nini? 😄
Njoo ushuhudie Molière Mara Mbili - tamthilia mbili za vichekesho zikichezwa kwa mara ya kwanza kwa Kiswahili Dar es Salaam!
🎭 Zinaigizwa na wachezaji wa Muda Africa
🎬 Zimeongozwa na Ian Mwaisunga na Jorn Heijdenrijk
📅 Alhamisi, 10 Septemba 2026
🕢 Saa 1:30 usiku
bottom of page
